sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
[emoji119][emoji119][emoji119]Si Mimi huyo Jamani [emoji23][emoji23]ninamuda sijafanikiwa kushika paja la mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119]Si Mimi huyo Jamani [emoji23][emoji23]ninamuda sijafanikiwa kushika paja la mtu
We kimoda, kikaragosi Hebu tulia usim spoil na Kum mislead mrembo wangu😂🤣🤣hali ni tete😬
angalia usije ukajimenya mkuu....
😀😀Hamna Jin's watu wanaficha mapajayao 😂hali ni tete😬
angalia usije ukajimenya mkuu....
Who told you??Hao waliovesha sahiz hawaongeleshani hebu niache [emoji3]
Una tofauti gani na @mshamba_hachekwi,🤔😂🤣🤣Hao waliovesha sahiz hawaongeleshani hebu niache 😀
Haha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza 😂😂
Acha Nika angalie interview ya jack ma, Kama NILIVYO shauriwa na mshamba_hachekwi coz Jamaa alikataliwa zaidi ya Mara 21😂cocastic anakwambia Haiombwi hivoo kichaaa akee ! Less wordssssssssss🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
🎼🎶
(Maneno mengii story nyingiii unamkeraaaa) 🎵🎵!
(Mi naimba tuu kichaaa akee)😊😁
Gud luck💪,Haha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza 😂😂
dalili nzuri hii inaonyesha ana mahelaanaongea kiingereza balaa
hii umeandika kwa hisia sanaGud luck💪,
Oyaaa Intelligent businessmanHaha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza [emoji23][emoji23]
Nimechukua hisia za mashairi ya William sharkspear🤣😂😂😂hii umeandika kwa hisia sana
Sio fuvu, sema komweee🤣😂😂Nikapumzishe fuvu langu sasa kwareo inatosha!!💤💤😴!
Nasubiri SAA nne cocastic afanye Jambo.Nikapumzishe fuvu langu sasa kwareo inatosha!![emoji99][emoji99][emoji42]!
Awe na Hela wapi watu wasiosoma alafu ajue kuongea kiingereza mbona utakoma wasomi hawanaga hizo 😀😀😀dalili nzuri hii inaonyesha ana mahela
Mhh nanjilinjii na kizungu wapi na wapi🤔🤣😂😂 mshamba_hachekwi huyoo🤣😂
😂😂😂Nawatania bhana