Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Mamaeee😂🤣🤣😂Kisumapai bado yukooo vizuri
Ottawa alifurushwaa kuna nyumba yake msamala karibu na stand ya zaman, ile inasifika kwa matukio ya ajabu,
Sasa wazungu ndo walipanga mule, bhanaa wee wakichezea kichapooo na kulazimishwa waongee kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Misukule ya ottawa mchezoo, wazungu wakashitaki ndo akafurushwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]