Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,432
Manyanza Soma na hioo🤣😂Ilikuwa jokes tu Sina mwanaume na Sina huo mpango kwasasa
Nina mambomengi ya kufanya
Manyanza Soma na hioo🤣😂Ilikuwa jokes tu Sina mwanaume na Sina huo mpango kwasasa
Nina mambomengi ya kufanya
Naona umevàa majarabibi na nikabu Kama ninja🤣😂😂, ndo uni selfie nione😍🙏😀😀Yananoga mbona
Wanaume wenyew Hawa drama kibao kilasiku wanawqza wanawake wapyaMambo hayo bila mwanaume haionogi shemeji
Kitanda chote 6*6 Unalala mwenyewe pooo
Hahah sijavaa nikabuNaona umevàa majarabibi na nikabu Kama ninja🤣😂😂, ndo uni selfie nione😍🙏
Kama nyie tu wanawake tu ,drama nyingiWanaume wenyew Hawa drama kibao kilasiku wanawqza wanawake wapya
Wanaume wenyew Hawa drama kibao kilasiku wanawqza wanawake wapya
Labda huko sayari nyingine hapa Ukiwa na mtu ukubali ndio aduiyako mkubwa badae,hakuna uyo mwanaume wa kufanya ujifeel proud labda kiunafki huko pembeni anakuona mbweha tu anaanza na kukunanga
Allah hujibu kwa wakti na sio kwa haraka wewe tulia tu usije ukajichanganya 🤣🤣🤣Wanaume wenyew Hawa drama kibao kilasiku wanawqza wanawake wapya
Wanaume wenyew Hawa drama kibao kilasiku wanawqza wanawake wapya
Ni Kweli lakini sio wote sometimes tunajikuta tu drama zinatakiwa zifanyike kubalanceKama nyie tu wanawake tu ,drama nyingi
😂😅😅😂Labda huko sayari nyingine hapa Ukiwa na mtu ukubali ndio aduiyako mkubwa badae,hakuna uyo mwanaume wa kufanya ujifeel proud labda kiunafki huko pembeni anakuona mbweha tu anaanza na kukunanga
Nah for real I feel like there are some real gents out there💪Labda huko sayari nyingine hapa Ukiwa na mtu ukubali ndio aduiyako mkubwa badae,hakuna uyo mwanaume wa kufanya ujifeel proud labda kiunafki huko pembeni anakuona mbweha tu anaanza na kukunanga
Kiukweli sikuhiz watu kama wamerogwa😀😀😀Mimi siwez kujichanganya kaka always naamini kwenye true love na ninapenda hasa so kunamda narelax siwez mpenda asienipenda ni kujipotezea mudaAllah hujibu kwa wakti na sio kwa haraka wewe tulia tu usije ukajichanganya 🤣🤣🤣
OkKiukweli sikuhiz watu kama wamerogwa😀😀😀Mimi siwez kujichanganya kaka always naamini kwenye true love na ninapenda hasa so kunamda narelax siwez mpenda asienipenda ni kujipotezea muda
MmhNah for real I feel like there are some real gents out there💪
Ko man ishi kea kuwindana Kama ma snipper😂😂🤣Ni Kweli lakini sio wote sometimes tunajikuta tu drama zinatakiwa zifanyike kubalance
Hakika ukiwa na mtazamo huo hautayumbishwa. Watu wanapenda tukio la harusi lakini sio maisha ya Ndoa. Maana kwenye maisha ya Ndoa kuna changamoto sana. Na kama ulijichanganya kukimbilia harusi cha moto utakikuta kwenye ndoa 😅Kiukweli sikuhiz watu kama wamerogwa😀😀😀Mimi siwez kujichanganya kaka always naamini kwenye true love na ninapenda hasa so kunamda narelax siwez mpenda asienipenda ni kujipotezea muda
Kabisa ni uhakika😀😀Ko man ishi kea kuwindana Kama ma snipper😂😂🤣