mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,761
kwahiyo unataka kuniambia unaweza kusoma akili za watuIt applies kwenye mambo nyingi sana ikiwemo hisia zetu sie binadamu
kwahiyo unataka kuniambia unaweza kusoma akili za watuIt applies kwenye mambo nyingi sana ikiwemo hisia zetu sie binadamu
Kidogo naweza aisee hasa Mabinti 😂😂😂kwahiyo unataka kuniambia unaweza kusoma akili za watu
Hapa nachangamsha genge uwii 😂😂😂 .Ofcouse umeshazoea but how do you overcome that condition?
Mwee😅😅😅😅😅😅😅
Yuko sahihi kabisa, ambazo ni medium binafsi huwa zinanikosesha raha kimtindo maana nakua sijielewi elewi.
Vaa hata nyumbani uzoee basi!!!!!!
kwahiyo unataka kusema wewe ni fataki, si ndio??Kidogo naweza aisee hasa Mabinti 😂😂😂
wewe ndo unatumiaga mziki kupitisha muda??Weka nyimbo usikilize hapo uburudike kidogo ,
Kama kumepoa sio poa .
Siendeshwi na tamaa za mwili Kijana. 😂😂😂kwahiyo unataka kusema wewe ni fataki, si ndio??
we nishakusoma😂Siendeshwi na tamaa za mwili Kijana. 😂😂😂
Usinisome maana hauwezi kufaulu 😂😂😂we nishakusoma😂
MB nyingiiiii 😬😬😬😬
😆😆😆😂😂😂😂View attachment 2660118
Muwe na sabato njema yenye baraka Tele na kumpendeza Mungu
Hakuna mwanamke wa pekee ako
Eeeh napenda sana nyimbo aiseewewe ndo unatumiaga mziki kupitisha muda??
Tano nyingi?😁MB nyingiiiii 😬😬😬😬
Kuna kitabu fulani nikikipata nitaki upload na kukutag hapa kitakusaidia sana 😊Eeeh napenda sana nyimbo aisee
Humo nakaa napiga vikelele , napenda ile kufanya kazi huku naimba .
mama anafanyaga hivi hua nacheka sana sijui naonaje😂Eeeh napenda sana nyimbo aisee
Humo nakaa napiga vikelele , napenda ile kufanya kazi huku naimba .
Asante sanaKuna kitabu fulani nikikipata nitaki upload na kukutag hapa kitakusaidia sana 😊
Hauwezi kuelewa labda mpaka kuanzia 2025 hukomama anafanyaga hivi hua nacheka sana sijui naonaje😂
Ni nzuri sana aiseemama anafanyaga hivi hua nacheka sana sijui naonaje😂