Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahahaa hata mtu awe bandidu vipi anasurrender 😂😂zinatengenezwa 1500/sec. nyingine lazima zipande kichwani😅
Hahahaa hata mtu awe bandidu vipi anasurrender 😂😂zinatengenezwa 1500/sec. nyingine lazima zipande kichwani😅
halafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....Hahahaa hata mtu awe bandidu vipi anasurrender 😂😂
Usiwe na papara Kijana 😂😂halafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....
unatuma maombi kwa 20, 1 ndo anakupa tenda
usijifanye huelewi mapito tunayopitiaUsiwe na papara Kijana 😂😂
Ujana ni utapeli lakini 😂😂😂usijifanye huelewi mapito tunayopitia
we mwenyewe bachela inaonekana unazungushwa tu😂Ujana ni utapeli lakini 😂😂😂
Duh aisee poleni sanahalafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....
unatuma maombi kwa 20, 1 ndo anakupa tenda
Hisia zangu zimeangukiia kwa Pisi ya humu humu 😂😂😂we mwenyewe bachela inaonekana unazungushwa tu😂
Kila jambo huja kwa wakati mwafaka aisee huyo unayempa pole yeye mwenyewe hajiwezi , Kumiliki ubavu ataweza ?Ndio maana asubiri wakati muafaka tu 😂😂😂Duh aisee poleni sana
Mnapitia changamoto
Wapi huko nije kutega abiriaWatu wako weekend leo wanaserebukaa, wee unakwama wapiii??
Hahaa mnajuana nyieKila jambo huja kwa wakati mwafaka aisee huyo unayempa pole yeye mwenyewe hajiwezi , Kumiliki ubavu ataweza ?Ndio maana asubiri wakati muafaka tu 😂😂😂
Kuwa juu ya ....Hahaa mnajuana nyie
Hapo alipo anaweza vuta ubavu ujue , nyie mmeumbwa kuwa juu yetu
Mungu yupo na anajibu kwa wakati Zaidi ya haraka. Kikubwa asije akajichanganya tu. Maana huyu bado ni scholar 😂😂😂Hahaa mnajuana nyie
Hapo alipo anaweza vuta ubavu ujue , nyie mmeumbwa kuwa juu yetu
ungejua umri wangu usingesema hivi😂Hapo alipo anaweza vuta ubavu ujue
Heheee usiniambie kwa hiyo mchuchu wako asiwaze mambo hayo kabisa .ungejua umri wangu usingesema hivi😂
Bora umenyoosha mikono juu mwendo wa mateka 😂😂😂ungejua umri wangu usingesema hivi😂
Ungenifundisha tu hiyo genes inasema nnRefer Genesis
Adhabu ya tunda 😂😂
Kwa Eva .
Below 25 tu huyo. 😂😂😂Heheee usiniambie kwa hiyo mchuchu wako asiwaze mambo hayo kabisa .
Anyway humu ni mtandaoni so huwezi jua umri wa mtu