Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,008
- 45,721
Katafute Abiria tu Mkuu 😂😂😂Ungenifundisha tu hiyo genes inasema nn
Katafute Abiria tu Mkuu 😂😂😂Ungenifundisha tu hiyo genes inasema nn
Hakika umenena vyemaMungu yupo na anajibu kwa wakati Zaidi ya haraka. Kikubwa asije akajichanganya tu. Maana huyu bado ni scholar 😂😂😂
Ndio nimewasha data,niokote okote wa week endKatafute Abiria tu Mkuu 😂😂😂
Niajeee mazeeila hizi friendzone aisee😅
mchuchu wa wapi aisee....mchuchu wako
Hilo ndio la msingi Mkuu 😂😂Ndio nimewasha data,niokote okote wa week end
Lol labdaBelow 25 tu huyo. 😂😂😂
Sawa sawa,naona humu , mko na totoz tuuHilo ndio la msingi Mkuu 😂😂
You can't be serious kuwa upo 19 , hapaana .mchuchu wa wapi aisee....
mwaka unaingia boarding mi ndo naingia duniani😂
Vijana utawaweza ? Wanataka mambo makubwa halafu wakija kuwa matured ndio wanaanza mambo ua utoto 😂😂😂Lol labda
Anaonekana matured enough lakini .
Mtandaoni Kuna joto sanaaa 😂😂😂Sawa sawa,naona humu , mko na totoz tuu
Ni below 25 huyo 🤣🤣🤣You can't be serious kuwa upo 19 , hapaana .
tembea uone rafki yanguYou can't be serious kuwa upo 19 , hapaana .
Mmh mbn mie naona baridi hasa humu, naona maruwe ruweMtandaoni Kuna joto sanaaa 😂😂😂
Hahaa aiseeVijana utawaweza ? Wanataka mambo makubwa halafu wakija kuwa matured ndio wanaanza mambo ua utoto 😂😂😂
Halafu ndio wazee wa mwaka 2060 eti ? Dunia inaishia hivyo 🤣🤣🤣Hahaa aisee
Siwawezi vijana mie, kazi yao kuangalia sketi tu .
No wayNi below 25 huyo 🤣🤣🤣
bachela unamcheka bachela mwenzako....Ni below 25 huyo 🤣🤣🤣
Baadae huko ni vituko vitupuHalafu ndio wazee wa mwaka 2060 eti ? Dunia inaishia hivyo 🤣🤣🤣
You look old enough to metembea uone rafki yangu