Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante dear
Eh niliteleza wakati navuka road aisee .. Nikajikuta niko chini gari hilo , namshukuru Mungu .

Hakuna kitu kinauma kama vidole ,nilivaa wigi nikavua ghafla sijui lilienda wapi 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂Aisee
 
Wapo aisee
Watu wote hawa duniani jamani
Sema kumpata ndo kipengele
Hakuna wa hivo dear ukipata hayo mawili ujue mengine kumi Hana kabisa ukipata angalau nusu ya unayoyatak bas toa sadaka 😂
 
🙈🙈🙈

Likishavuka magotini sio fupi tena 😄😄😄
Dah😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya shemegi haya

Anasema vaa tujue moja
Kama fupi livuke magoti
Kama refu liguse mguu.

Siyo unavaa kama bibi.


Wakati mm nikiwa chini ya goti tayari ni fupi.

Yale nimenunua kipindi kile sijawahi vaa😂
Mafupi hatari.
 
20230617_105341.jpg
20230617_105403.jpg
 
Back
Top Bottom