Ila wanawake mna dunia yenu nyingine, mnaitana kipenzi, dear, my love n.k, hayo maneno kwa upande wetu huku umuite rafiki yako hivyo hapo ni ngumi zinaanza zikisindikizwa na matusi mazito mazito😂
Hata rafiki yako akiwa amejazia kifua, ana six packs ama mkono kabla ya kumsifu lazima umpe tusi zito kwanza ndipo sifa inafuatia utasikia we mse... kmmk zako naona mkono umetoka! 😂
Kama unataka utengwe wenzio wajue ume left group we sema asee una kifua kizuri😂😂😂
Ukikoswa kofi ujue utatengwa.
Wanaume tuna dunia yetu😆