Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahah ngapi?? Ukianzia tabata relini paka mbezi kuna baa chache 40 40 micassa kitambaa the great pale kites BL G7 then kibozone. Zimeisha...

Chache saaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja ipo karibu na segerea kwa bibi inaitwaje ??
 
Mambo dear .
Ila wanawake mna dunia yenu nyingine, mnaitana kipenzi, dear, my love n.k, hayo maneno kwa upande wetu huku umuite rafiki yako hivyo hapo ni ngumi zinaanza zikisindikizwa na matusi mazito mazito😂

Hata rafiki yako akiwa amejazia kifua, ana six packs ama mkono kabla ya kumsifu lazima umpe tusi zito kwanza ndipo sifa inafuatia utasikia we mse... kmmk zako naona mkono umetoka! 😂

Kama unataka utengwe wenzio wajue ume left group we sema asee una kifua kizuri😂😂😂
Ukikoswa kofi ujue utatengwa.

Wanaume tuna dunia yetu😆
 
Kweli bro hata kumuambia mwana 'asante' naona atanichukulia pushover, nasemaga tu 'poa bro'😂
 
Nicolee kapiga kwenye mshono, wanaume wanaoshinda GYM na wanao act urijali, wanatoa matusi mazito mazito,

Nasemajee Nicolee ongezaa dosage hadi wapoteaneee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16869112776008151.jpg
 
Back
Top Bottom