Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Nini Tena mkuu🤔🤔
Nini Tena mkuu🤔🤔
Hahahaha, kweli haya maandalizi
Tabata pako fresh sana
Ilikua likizo, ilikua Songea town, ali overtake kumbe mbele lory LA makaa ya mawe linakuja mkuku mkuku, ilibidi tupishie mtaron, sema sikuumia, nkampa hela yake nkasubiri bajaji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafunzi nyinyi mnaringa saana mpo kwenye Boda bado mnataka kuchart na wabebez zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa kule tabata kinyerezi- mwisho, kanisani- Kuna watu wamejenga mijumba aise 🔥🔥Tabata pako fresh sana
Isingekuwa ndugu zangu wanakaa huko ningekaa huko .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSema vimbau mbau ndo [emoji91][emoji91][emoji91]
Tuna andaa mitambo, kabla ya kuja kuenda vitani- someday😂🤣🤣Hahahaha, kweli haya maandalizi
I mean no malice to nobody[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Kinyerezi kuna majumba balaaHasa kule tabata kinyerezi- mwisho, kanisani- Kuna watu wamejenga mijumba aise 🔥🔥
Yeah Tena ni maghorofa ya watu binafsi tu, tutafutenu Hali za ki maishaKinyerezi kuna majumba balaa
Mji unazidi kuendela aisee .
Same as Goba .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilikua likizo, ilikua Songea town, ali overtake kumbe mbele lory LA makaa ya mawe linakuja mkuku mkuku, ilibidi tupishie mtaron, sema sikuumia, nkampa hela yake nkasubiri bajaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbwa yulee, lile lory lingetuvaa si kila kiungo kinakaa kwakee, woiiiiiih
Mimi boda huwa namwambia kabisa kuwa kimbia ila kwenye taa usikatize kama hazijaruhusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekesheee, kuna boda nusu aniwahishe aridhini kisa upumbavu wake wa kutaka kuwahi. Lol
Mbna alinishusha kwa lazimaa. Sitakii kabisaa
Naaaam. Watu wanajenga haswaa.Hasa kule tabata kinyerezi- mwisho, kanisani- Kuna watu wamejenga mijumba aise [emoji91][emoji91]
Wanavuta ugoro sijui na Bhangi SASA wakiwa kwenye Boda Ile spidi wao hawaioni kabisaaa.Mimi boda huwa namwambia kabisa kuwa kimbia ila kwenye taa usikatize kama hazijaruhusu
Vilema tayari ninavyo vya kutosha aisee.
Kwanza huwa napanda mara mojamoja sana nikishachelewa.
Kwa kweli bodaboda wa miaka hii sijui ndo kuvurugwa na maisha..
Hajali kabisa usalama wake.
Napapenda saana. Na utulivu ni wakutosha.Kinyerezi kuna majumba balaa
Mji unazidi kuendela aisee .
Same as Goba .
Ewaah tutafute pesa jamaniYeah Tena ni maghorofa ya watu binafsi tu, tutafutenu Hali za ki maisha
CocasticIlikua likizo, ilikua Songea town, ali overtake kumbe mbele lory LA makaa ya mawe linakuja mkuku mkuku, ilibidi tupishie mtaron, sema sikuumia, nkampa hela yake nkasubiri bajaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbwa yulee, lile lory lingetuvaa si kila kiungo kinakaa kwakee, woiiiiiih
Wakisema money is not everything it's okay, ila pata hizo pesa ndo uongee upuuzi huo🤣😂😂Ewaah tutafute pesa jamani