Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230617_095755.jpg

Huu Mji hauna muda mrefu utakuwa umejaa.
#Tunduma
 
Asante dear
Eh niliteleza wakati navuka road aisee .. Nikajikuta niko chini gari hilo , namshukuru Mungu .

Hakuna kitu kinauma kama vidole ,nilivaa wigi nikavua ghafla sijui lilienda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa, woiiiiih
 
Yeah someone to care for you, akuambie jinsi anavyokupenda .
Anavyotaka mzeeke pamoja .

Awwwh this is so sweet jamani , love is a beautiful thing ever .
Ndo wee utafute sasa mie niwe MC, watu wale ubwabwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aunt unatak nife
Unakufajee kwa mfanooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie wakati naanza kujua kujunjana, kila nikifikiria kifo nalia wee hiyo yote nawaza kukosa mnyanduanooo.

Baada ya kupigwa tukio, ndo akili ikajifanyia restore factor settings,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila akili zangu sijui zilikuajee.
 
🤣🤣🤣Aliekuroga wew kafa
 
Back
Top Bottom