Yeah,ila ni kweli huwa inakuwa tofautiUkiona mwandiko wangu lazima ukalazwe aisee....mda mwingine hata mimi siwezi kuusoma,sasa huo ndio wakiume.
Wakike mnaumba herufu kama zilivyo mbwembwe nyingii....weka uno hilo uzi uchafuke huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ngoja nifunge PM kwanza halafu nitupie uno 😂😂😂