Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseeeee....
Umemkosa G.......
Huna bahati mdogo wangu

Sijui nianzie wapi kukueleza yaani

Kijana white kama mtoto mzuri cocastic
Kapiga bonge ya jeans matata sana

Ngoja tumuombe arudie

cocastic njoo urudie picha ya G
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtwasi mwenzio toka lini akawa white??

Mie na white wapi na wapiii??? Kumbe nawe hukuona vizuri lol
 
Back
Top Bottom