Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ms eyes ni balaaa naona vijana mnalala, acha wazee tuenjoy maishaachana na Intelligent businessman nyuki wa mashineni haezi elewa😂
Ms eyes ni balaaa naona vijana mnalala, acha wazee tuenjoy maishaachana na Intelligent businessman nyuki wa mashineni haezi elewa😂
Wee Kivuruge 😁😁!!Na Mimi je🤣😁😁😂
Hesabu ya boss vipi?Damn guys, bajaji yangu Ime pata ajali😪😪, hata Mwezi haijamaliza😭😭
wangejua😀
Aisee pole sana kijanaDamn guys, bajaji yangu Ime pata ajali😪😪, hata Mwezi haijamaliza😭😭
Dah Kaka, bajaji haina hata wiki. Toka nimpe dereva😭😭Aisee pole sana kijana
Yangu Kaka, nimempa dereva- Hana hata wiki. ShitHesabu ya boss vipi?
Unyama ni mwingi
Hii biashara ni ngumu sana bora ufanye mwenyeweDah Kaka, bajaji haina hata wiki. Toka nimpe dereva😭😭
Yaani bro, for real. Acha nijaribu kutuliiaa. Sijisikii vizuriHii biashara ni ngumu sana bora ufanye mwenyewe
Pole sana dear🙁Yaani bro, for real. Acha nijaribu kutuliiaa. Sijisikii vizuri
Bora maana hili lilinifanya kama mbibi flani hivi...😵😵Unyama ni mwingi
Ila bado yale tano bora yapo palepale
Pole sanaYaani bro, for real. Acha nijaribu kutuliiaa. Sijisikii vizuri
Inauma aisee, nime amini ile ya kauli ya tunaishi nje ya Malengo tuliyojiwekea.Pole sana dear🙁
poleInauma aisee, nime amini ile ya kauli ya tunaishi nje ya Malengo tuliyojiwekea.
Ndo naenda eneo la tukioo Kaka,Pole sana
Mjuba, I feel hell for realpole