Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Chama lipi mkuu?🤔Umesaliti chama aisee??
Chama lipi mkuu?🤔Umesaliti chama aisee??
G kama GNdyooooh na akili kubwa pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie kiukweli G nampenda mnoo,Uwii usiseme hivyo [emoji23][emoji23]
Yapo ya kweli lakini ..
Kwani shs ngapi kuvumilia ?
Kabisaaa kwaanza hata hukumbukio hao Ma ex.G kama G
Kapewa vyote na Allah
Love is surely crazy , unaweza penda hadi ukajuta muda ulipoteza na ma ex wale .
Kikubwa mwamini aiseeMie kiukweli G nampenda mnoo,
Na niko tayari kumvumiliaa, je yeye atakua na imani kwagu?
Ila yeye kaniaminishaa, kuwa ana mipango thabiti na mie.
[emoji23][emoji23][emoji23] cjui ndo utoto au ananidanganyaa.
Ex nenda salama 😂😂😂Kabisaaa kwaanza hata hukumbukio hao Ma ex.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kweli dear, hakuna kinacho shindikana.Kikubwa mwamini aisee
Kama mwapendana basi itawezekana tu .
Mpo bongo hii inashindikana nn nyie kuonana baaada ya miezi kadhaa .
Kutumiana zawadi za hapa na pale .
Kufanya vitu kwa pamoja ili mdumishe upendo kati yenu .
Chama lipi mkuu?🤔
G ananipa furaha mnoo, kwan mwanzo hata sikutegemea.Ex nenda salama [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa na unashukuru mlivyoachana wapi ungejisikia furaha hivyo
Sky is the limit dearIla kweli dear, hakuna kinacho shindikana.
Omba kweli.Sky is the limit dear
Tena who knows , mwakani tunaweza kula ubwabwa .
Awwh love is a beautiful thingG ananipa furaha mnoo, kwan mwanzo hata sikutegemea.
Ila penzi limekua [emoji91][emoji91][emoji91]
All the bestOmba kweli.
Mwakani mkule ubwabwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nitumieee namba za mshika micAloshikiwa mic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sanaaaa.All the best
Mwakani tucheze kwaito IJN .
Dah Kwa hiyo wewe unataka uishi na Mali yako IPO karibu.[emoji23][emoji23][emoji23]Long distance ngumu
Kamaa vipi abaki hapa mjini tu .
Kulinda penzi .
Sikutaka mahusiano chuo kisa hichi , mkimaliza kila mtu kwao .
Ikitokea yupo mbali sawaDah Kwa hiyo wewe unataka uishi na Mali yako IPO karibu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa karibu kuna kumchoka. Awe mbali...kidogo. kuonana twice a monthIkitokea yupo mbali sawa
Ila raha kuwa karibu sana lol
Ndo maaana namshauri coca hapo aisee kijana huyo amuweke karibu , wasitokee vipeperushi .
Au kama vipi uniletee tu mwenyewe 😂Pouwa