Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahhaa na Chamanzi je
Kuna vyumba unasema jamani duh

Wakati naanza kupanga nilitamani kukaa Mbagala aisee
Life la kule wanasema ni rahisi tofauti na kwingine huku
Yes.

Chamazi mbagala wanalife rahisi sanaa.

Asubuhi mihogo yakukaanga mchana ugali dagaaa na pilipili. Yani kila nyumba Kwa nje either wanakaanga dagaa Mchele au mihogo asuhubi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko raha aiseee
Vitu vingi bei chee , huku kwingine ni kuvumilia tu

Vyumba vizuri sana kwa sie tunaanza maisha panafaa huku ukiijpanga .
 
😂
Umenikumbusha dereva mmoja juzi
Tukabaki kushika vichwa
Ameovertake magari mengi,,halafu mbele yake kuna magari yanakuja,,akaingia tena
Heri alikuwa pekeyake.
Madereva boda Mungu awasaidie aisee maana ukishashika boda tu akili inakuwa si kujipachika kulekule kwenye magari aliyoyaovertake na nafasi hakuna,
sasa Ile ingia yake😂🙌
Tuna haraka sana,halafu huu udereva husomei ,nikufundishana tu kitaani
 
[emoji23]

sasa Ile ingia yake[emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja kwanza
 
Attachments

  • 20230616_113819.jpg
    20230616_113819.jpg
    626.1 KB · Views: 7
Tuna haraka sana,halafu huu udereva husomei ,nikufundishana tu kitaani
Wengi wenu ni vichaa
Akili si zao tena.

Yaani wapo rafu mno,
Kila ninapopita pale makumbusho ile junction ya stand,nakutaga bodaboda amebutua gari
Mara kajivaa kwenye gari anavuja damu.

Taa zimewashwa nyekundu,yeye anaenda kupita.
Unajiuliza hivi huyu akili yake iko sawa kweli?
 
Back
Top Bottom