Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Pole, peekaboo garageYangu Kaka, nimempa dereva- Hana hata wiki. Shit
Me mdogo wake mungu siogopag hiyo k2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee unaogopaa kulogwa??
Hicho kiungo maini hatari sana mungu aepushe kinalaza sana watu aisee 🍻Piga vitu kaka maini mapya ya nn mbinguni tunapewa mwili mpya😀😀😀
Khe jamaniInaleta nyegee balaaa!!!😁😁
Eendiwoooooooo dear ukinywa inaenda chiniiii😊😊😊😁Khe jamani
Ndiyo,wengine ni marafik vigeu geu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machozii, cazee ko wee rafiki ako ni Mungu?? Woiiiii
Kuna Aina za wine zina alcohol na nyingine ni non alcoholic ambazo ni halali....Al halali...
Bas dear sinywiEendiwoooooooo dear ukinywa inaenda chiniiii😊😊😊😁
PouwaNtakuagiza unitumie
Napenda mawese
Niliambiwa red wine nafikir wajuz wamesema ukinywa nying unalewa nitaendelea kunywa juis ya embeKuna Aina za wine zina alcohol na nyingine ni non alcoholic ambazo ni halali....Al halali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kweli.Bas dear sinywi
Kwanini? TKumbe G yupo hivyo
Aiseeee cocastic baki uchunge mali yako huku .
😀😀😀Nimevuta picha yakikuzid na umelewa unapiga kelele au unafanyaje🤣🤣🤣🤣Hapana sio kweli.
Kwamba wine zinaleta Ashky?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zikizidi unalala. If your not used to them unajifunzia kunywa nyumbani.[emoji3][emoji3][emoji3]Nimevuta picha yakikuzid na umelewa unapiga kelele au unafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha ni kweli. Ila vile vile most ya non alcoholic wine zina taste tofauti na alcoholic.Niliambiwa red wine nafikir wajuz wamesema ukinywa nying unalewa nitaendelea kunywa juis ya embe
Kazi kweli kweli 😀😀Zikizidi unalala. If your not used to them unajifunzia kunywa nyumbani.
Zikipanda either kichwani au Kama wanavyosema eti zinashuka chini unajilalia.
Sent using Jamii Forums mobile app