Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣
Nipo kwenye maandalizi Aaliyyah 🤣😂
FB_IMG_16867516126989673.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya weekend hii.
Kila la heri.

Nakumbuka enzi za UE. kuna somo lilikuwa tough saana intermidiate micro economics SASA kuna jamaa tukampanga atupige tafu.

Ile tumepangwa tuu hatujaanza pepa msimamizi akamhamisha jamaaa.

Tulitamani ardhi ipasuke. Maana Ile ulikuwa ukisup huchomoi unabeba. Haumalizi[emoji1787][emoji1787].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekesheee, kuna boda nusu aniwahishe aridhini kisa upumbavu wake wa kutaka kuwahi. Lol

Mbna alinishusha kwa lazimaa. Sitakii kabisaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafunzi nyinyi mnaringa saana mpo kwenye Boda bado mnataka kuchart na wabebez zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la heri.

Nakumbuka enzi za UE. kuna somo lilikuwa tough saana intermidiate micro economics SASA kuna jamaa tukampanga atupige tafu.

Ile tumepangwa tuu hatujaanza pepa msimamizi akamhamisha jamaaa.

Tulitamani ardhi ipasuke. Maana Ile ulikuwa ukisup huchomoi unabeba. Haumalizi[emoji1787][emoji1787].

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnooo. Aseeeeh ilikua kasheshee.
 
Back
Top Bottom