Kwani hawajitokezi basi ila kunamtu naona kaniroga anataka nifufuke na mbwa 🤣🤣🤣Kwahiyo akijitokeza mwenye ubavu wake utampa bila hiana?😂😂😂😂
😂😂😂😂Sitaki vita nimesema 🤣🤣
La la la😍😍😍Sitaki vita nimesema 🤣🤣
Ko usipo kunywa chai, mdomo una hamia kisogoni🤣😂😂Sijanywa hata chai Jamani
Nakubali sister 😍, sema wenye miguu midogo Mana faidi
Pole 🤣🤣🤣Sijanywa hata chai Jamani
Nimecheka kifala 😂😂😂Kwani hawajitokezi basi ila kunamtu naona kaniroga anataka nifufuke na mbwa 🤣🤣🤣
39 ni ndogo? Uwiii 😂🤣😂Nakubali sister 😍, sema wenye miguu midogo Mana faidi
Kiatu cha Kaka 😂😂😂
Hi ya mtoto bhana🤔🤔😂😂
SI ma giant tunavaa 49 0r 50 🤣😂39 ni ndogo? Uwiii 😂🤣😂
Matangazo au ???🤣🤣🤣
Duh,mie najua wanao selfika ni wadada tu ,hata sie madereva wa boda?Selfika basi
Madereva ndiyo mahali penu hapaDuh,mie najua wanao selfika ni wadada tu ,hata sie madereva wa boda?
Nitaangusha abiriaMadereva ndiyo mahali penu hapa