Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitaangusha abiria
😂
Umenikumbusha dereva mmoja juzi
Tukabaki kushika vichwa
Ameovertake magari mengi,,halafu mbele yake kuna magari yanakuja,,akaingia tena
Heri alikuwa pekeyake.
Madereva boda Mungu awasaidie aisee maana ukishashika boda tu akili inakuwa si kujipachika kulekule kwenye magari aliyoyaovertake na nafasi hakuna,
sasa Ile ingia yake😂🙌
 
Boda aisee balaa
Napanda hadi itokee ulazima .

Siku nimepanda mshikaki tunaenda tu karibu nikamwambia naomba usipite kati aisee .
Barabara yenyewe ndogo halafu apite kati ya magari .
 
Back
Top Bottom