Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi boda huwa namwambia kabisa kuwa kimbia ila kwenye taa usikatize kama hazijaruhusu

Vilema tayari ninavyo vya kutosha aisee.

Kwanza huwa napanda mara mojamoja sana nikishachelewa.

Kwa kweli bodaboda wa miaka hii sijui ndo kuvurugwa na maisha..
Hajali kabisa usalama wake.
Mie huku Dar sitaki boda boda, nawajua wamesha vurugwaa kabisaa.
Napanda zangu bajaji, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boda labda nimuagize kitu, sio anipakizee mie thubutuu.
 
Jana nimeona kwenye kipindi cha Ujenzi huko Goba estate wanajisifia ni vijana watupu wamejenga .

Ghorafa za maana semaa hazijafikia za Bunju beach na Mbweni kule aisee .
Yes. Kule ni high class tuu.

Huku tabata kinyerezi watu wamechanganyika mostly ni middle income earners very few high profile people. Pia kuna low income earners hao ndio tunao haribu mji WA watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anha okay , binafsi sipendi kelele
Yeah bar zipo barabarani sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahah ngapi?? Ukianzia tabata relini paka mbezi kuna baa chache 40 40 micassa kitambaa the great pale kites BL G7 then kibozone. Zimeisha...

Chache saaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahah ngapi?? Ukianzia tabata relini paka mbezi kuna baa chache 40 40 micassa kitambaa the great pale kites BL G7 then kibozone. Zimeisha...

Chache saaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Flamingo Inn?? Umesahau [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom