Na vile walivyo wafupi kumbe warefu , coca atakuwa hasikii kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa coca atakua asha chukuliwaa utampatia wapiii? Ntaenda kigoma kwa cazee, utanionea wapii
Waha unawajua wee??
🤣🤣🤣🤣Napenda amani sanaHuko aliko na yeye anawaza tu lakini siku akianza kuudai kwa nguvu utakoma kutinga 🤣🤣🤣🤣
Umeamkaje? Jana uliaga unaenda kulala,natumai umeamka salama🤣🤣🤣🤣
Yah alhamdulillah nimeamka salama kabisaUmeamkaje? Jana uliaga unaenda kulala,natumai umeamka salama
Mie pia nashukuru Mungu nimeamka salama kabisa, nafurahi km uko vzrYah alhamdulillah nimeamka salama kabisa
Vipi wew
Poa uwe naasubuhi njemaMie pia nashukuru Mungu nimeamka salama kabisa, nafurahi km uko vzr
kumbe!!!Shemeji kama shemeji
Ntakuagiza unitumieSana yan
Mambo dear .Ntakuagiza unitumie
Napenda mawese
Huu unafiki umeanza lini🤔😪😪 AaliyyahNiko single 😀
Hii picha nimeshatoka kuselfika chooni hapaView attachment 2659272
[emoji124]
We boya 😂🤣🤣, ko Usha nyetukaa😂🤣Hii picha nimeshatoka kuselfika chooni hapa
Msalimie huyo aliyeshika mic
We boya [emoji23][emoji1787][emoji1787], ko Usha nyetukaa[emoji23][emoji1787]
Hahaha 😂😂😂Aaliyyah uko POA madamView attachment 2659311