Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Ila nimechoka ujue jana. Mzee nilipitishwa na gar nilisinzia 🤣🤣🤣 tangu juma tat sijalal using mzurSafi, piga kazi!
Ila nimechoka ujue jana. Mzee nilipitishwa na gar nilisinzia 🤣🤣🤣 tangu juma tat sijalal using mzurSafi, piga kazi!
Muhimu pesa tu kijanaIla nimechoka ujue jana. Mzee nilipitishwa na gar nilisinzia 🤣🤣🤣 tangu juma tat sijalal using mzur
Nakupenda piahhhh udugu akeeee!! Mekumis hadi naumwaaaa!!💋💋🥰Mic u mnoo shogareeee akee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Unajua venye nakupendaaa, uduguu akee.
Boss lady km BL.
[emoji170][emoji170][emoji170]
Unajua sana ni wapi 😁😁😁
Sijatokea pande hizo kitambo sana aisee 🤣🤣🤣Nimependa hiyo sun downer aisee wewe ni Phhoographer , umenikumbusha kwenye ule uzi wa Photographer Corner wa yule Member alikuwa anatambulika kwa jina la Equilypz. Sijui yuko sikuhiziUnajua sana ni wapi 😁😁😁
Tena unaweza kuta we ndio ulikua unapita pita mbele ya camera yangu baada yakutoka kuangalia 🐒 🙈
Hbd mkuuHappy birthday to me Mwachiluwi
Jamani jamani
🎵🎵Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka macca
Nikadandiaga bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Ni kama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kujitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi, hhhmmm
Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki🎵🎵
Maua tutakupa sisi, wewe usijifiche bhana, Halafu Wewe ndio Malikia wa huu uzi ujue 🤣 🤣 🤣 🤣
Bajaji ya shemejio ina lala doro!!
Mtoto mzuriWasamiliee sana machalii ya hukooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aleikum ssallam!!Forever and always mnywanii!!🤩
Asalaam Aleykum!
Pole sana mnyamaa!Aleikum ssallam!!
Mywani homa imemkamata
Walau imepunguza punguza maumivu flaniPole sana mnyamaa!
Wishing you a quick recovery mnywanii akee!!😊😊😊
Santo sana mnyamaa mkareee!!Walau imepunguza punguza maumivu flani
Ubarikiwe Sana toto zuri
Nikiuguwa hivi ndo huwa nakumbukaga kuwa na mke mnywani.Santo sana mnyamaa mkareee!!
😂😂😂Kupatwa kwa Aaliyyah