Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Ni swala la muda tu kuanza kuongea barabarani peke ako
Ni swala la muda tu kuanza kuongea barabarani peke ako
Niko single 😀Ni swala la muda tu kuanza kuongea barabarani peke ako
Fanya makekeee uweke jiko ndaniii mnywanii mke ni faraja na kampani ya maishaa!Nikiuguwa hivi ndo huwa nakumbukaga kuwa na mke mnywani.
Lengo lako niendelee kupigwa kila siku humu ndani eh?😂😂😂Utajibeba 🤣🤣
😀Mwanaume kupambanaLengo lako niendelee kupigwa kila siku humu ndani eh?
Shukran mkuuHbd mkuu
😊😊Sijatokea pande hizo kitambo sana aisee 🤣🤣🤣Nimependa hiyo sun downer aisee wewe ni Phhoographer , umenikumbusha kwenye ule uzi wa Photographer Corner wa yule Member alikuwa anatambulika kwa jina la Equilypz. Sijui yuko sikuhizi
Sidanganyiki!!!!!😁😁Maua tutakupa sisi, wewe usijifiche bhana, Halafu Wewe ndio Malikia wa huu uzi ujue 🤣 🤣 🤣 🤣
Hawa wananipa lift...nikikufanyia na wewe hivyo utafikisika.😏Bajaji ya shemejio ina lala doro!!
Unachukua za wengine.
Mmeumia sana
InapendezaSafiiii
🤣🤣🤣Sidanganyiki!!!!!😁😁
🤣 🤣 🤣Niko single 😀
🤣 🤣 🤣
Kuna wimbo wa Ujana wangu. Nimeukumbuka hebu nikuburudishe