Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230614_142212.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] route ya kimara - kivukoni, kwa mwendokasii kuna wakaka wazuri mnooo, afu pambee sanaa.

Mie ndo napenda kuwatazamaa tyuuh. Mtu akiwa msafi anavutia mnoo.
Sanaaaa
Route ya kivukoni imejaa watu wengi civilized

Njoo sasa gerezani,,asilimia kubwa vibaka si vibaka
Gari inanuka hatari.
 
Dada unawapenda weupee??

Kuna mkaka alikua ananifatiliaa, ni mweupe ila mie hanifikii, nikamjibu ukweli, mie mwanaume mweupee hapanaa sihitaji, sasa wee mweupe, mie mweupe, utofauti uko wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawataka weusiii, tukiwa Pa1 ni km coca na fanta. Woiiiiih
Sasa na huu weusi nikachukue tena mweusi mwenzangu
Katoto kanatoka mkaa.
 
Back
Top Bottom