Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaliyyah utulie ehhšŸ˜
FB_IMG_16867561783096403.jpg
 
Sanaaaa
Route ya kivukoni imejaa watu wengi civilized

Njoo sasa gerezani,,asilimia kubwa vibaka si vibaka
Gari inanuka hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada wee hapanaaa, ko huwatakii walio km wavuta bangiii??
 
Sasa na huu weusi nikachukue tena mweusi mwenzangu
Katoto kanatoka mkaa.
Hapo sasa. Ila wanaume weusi wapewe maua yaooo.

Ila wegine kweli muwapende wanaume weupe, ili kaka na mdogo angu wapate wenza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada wee hapanaaa, ko huwatakii walio km wavuta bangiii??
Yaani dogo hizi route zote 2 nimepiga kwa muda mrefu kwa vipindi tofauti
Ila Ile route ya gerezani hapana kwa kweli.

Majasho yanayokuwepo mule aisee unaweza ufe..
Kuna siku nilitaka kuzimia Magomeni kwa kukosa hewa..
Nikadondoka
Hatari sana.

Route ya kivukoni japo inakera sana kutoka fire hadi kufika Feri,foleni kibao

Ila angalau gari linanukia,tuna nafuu.
 
Hapo sasa. Ila wanaume weusi wapewe maua yaooo.

Ila wegine kweli muwapende wanaume weupe, ili kaka na mdogo angu wapate wenza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wapewe tu ,wapeni nyie wenyewe

Mm nawapa weupe.

Unakuta kaka mweusi tiii anakuja
Uwii nasema Mungu epushia mbali.

Asante Mungu tu nina bahati na weupe.
 
Wapewe tu ,wapeni nyie wenyewe

Mm nawapa weupe.

Unakuta kaka mweusi tiii anakuja
Uwii nasema Mungu epushia mbali.

Asante Mungu tu nina bahati na weupe.
Dada nimechekaa mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wee unawatakaa weupee tyuuh.
 
Dada nimechekaa mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wee unawatakaa weupee tyuuh.
Ukiona tu nimekuzidi weusi usinifate.
Nataka wa kutakatisha watoto wetu aisee..

Ukiona nipo na mweusi basi ujue nilikosa option,nikamchukua tu option ya mwisho [emoji23][emoji174]
 
Ukiona tu nimekuzidi weusi usinifate.
Nataka wa kutakatisha watoto wetu aisee..

Ukiona nipo na mweusi basi ujue nilikosa option,nikamchukua tu option ya mwisho [emoji23][emoji174]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa jomoneeee khaaah
Wee sikuwezii dadaa.
 
Back
Top Bottom