Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo Wige amevuruga mkeka hapo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijambo Mkurugenzi.

Mwezi ujao tunarudi uwanjani majogoo
Nyuzi zetu tayari zishatoka Mkuu [emoji2960]
Size ni medium,,situmii kitambaa kikubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ondoa Wigelekelo kwenye mkeka ongeza

"Mnyaki muuza Pafyumu kali mjini"

Nitahakikisha jezi yako unaipata kwa wakati kabla ya msimu
 
Life could be dream [emoji41][emoji41]
JPEG_20230613_193249_7184841276310399737.jpg


Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
" Nimezaliwa mugambo nakuona unaruka na kukanyagana leo hii nimekuzidi umri"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila watu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Yaani Facebook ukiingia andaa mbavu zako

Mwingine anasema Juma Juma Juma
Nimekuita mara 3[emoji23]
 
Back
Top Bottom