Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Arusha bonge la mjiarusha beach zetu ni vichemchem 😂
hata msipokuwa nayo sawa tu
Arusha bonge la mjiarusha beach zetu ni vichemchem 😂
dar ndo penyewe.... mi naogopa tu zile foleni 😂Arusha bonge la mji
hata msipokuwa nayo sawa tu
Unatafuta eneo ambalo halisumbui ..dar ndo penyewe.... mi naogopa tu zile foleni 😂
afu pia dar naskia vitu ni expensive mno.... haswa mambo ya kodiUnatafuta eneo ambalo halisumbui ..
watu si wengi snaa
karibu na kazini pia
Hahah hamna aiseeafu pia dar naskia vitu ni expensive mno.... haswa mambo ya kodi
😍😍Umependeza sanaOkay sweetie
hali ya hewa tamu sana lazima tukumbuke mawigi yetu 😂😂
Asante mrembo 😍😍😍😍😍Umependeza sana
UmepitwaaMe sijaona weka tena.
ntakuja nihamie huko.... jiji la starehe😂 beaches and casinosHahah hamna aisee
watu tunaunga halafu tunaishi
kodi inategemea unataka room ya aina gani na sehemu pia .
mfano chamanzi vyumba bei rahisi sana , pia Malamba mawili vyumba bei cheee .
ishi kulingana na uwezo wako
Karibu sana , .ntakuja nihamie huko.... jiji la starehe😂 beaches and casinos
13 days 😅Karibu sana , .
Umefikia Sober siku ngapi ?
Naba niwaalike wazee wa mizagamuano, watoe maoni yao kuhusu lipsi😂😂 National Anthem na Mzee wa kupambaniaOkay sweetie
hali ya hewa tamu sana lazima tukumbuke mawigi yetu 😂😂
Kuwa makini kwa uchawa na unoko wako,🤔🤔, utakuja kuwa nyumba ndogo ya wajuba😂😂😂 mshamba_hachekwintakuja nihamie huko.... jiji la starehe😂 beaches and casinos
Huku tupoo poaa,ewah , mmeamkaje huko
kivipi wakati mi mwanaume 😂utakuja kuwa nyumba ndogo ya wajuba😂😂😂
😂😂😂😂Naba niwaalike wazee wa mizagamuano, watoe maoni yao kuhusu lipsi😂😂
Kwani wazee wa daisalamu wanasemaje😂😂😂😂😂😂😂
makubwa ..
Uje totoo, nitakupokeantakuja nihamie huko.... jiji la starehe😂 beaches and casinos
Hawa maindi masnitch, so wata kushughulikia mapema😂😂😂. Ndo Mana mi nimebaki nanjilinjii 😂😂kivipi wakati mi mwanaume 😂
uko serious au unanchatisha tu hapa 😂Uje totoo, nitakupokea