mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,799
kaniambia siku nikifika dara atanipokea 😂Vijana mnaanza eeh
kaniambia siku nikifika dara atanipokea 😂Vijana mnaanza eeh
Nitakuja nae kukupokea😅kaniambia siku nikifika dara atanipokea 😂
Kwa kweli yaan nilicheka km chizii wallah.[emoji23][emoji23][emoji23]JF ina vituko
usiwe na hofu mzee 😂Nitakuja nae kukupokea😅
Hilo muhimu mbona, au mshamba_hachekwi alifikiri nitaenda mwenyewe?🤣Nitakuja nae kukupokea😅
Dear sioni pichaaa, ila safari njemaaView attachment 2643771
To Arusha kutoa stress za kazi[emoji13][emoji13]
Nyie vijana machachari sanausiwe na hofu mzee 😂
kani-friendzone ananiita totoo😂 sina ujanja....Nyie vijana machachari sana
Alijua ameokota dodo chini ya mchongoma😅Hilo muhimu mbona, au mshamba_hachekwi alifikiri nitaenda mwenyewe?🤣
unaogopa mtoto??😂Hilo muhimu mbona, au mshamba_hachekwi alifikiri nitaenda mwenyewe?🤣
Nimeku-aunt zone 😅kani-friendzone ananiita totoo😂 sina ujanja....
Ebu nitag hiyo comment chap😅kani-friendzone ananiita totoo😂 sina ujanja....
Basi imekula kwake, sio kirahisi hivyo 😂Alijua ameokota dodo chini ya mchongoma😅
Au nyie mnanizunguka 🤔 ebu muite Depal 😅Basi imekula kwake, sio kirahisi hivyo 😂
Ni venye muda wote nakua na Jack Palladino yaani nilipo yupounaogopa mtoto??😂
inamaana huoni kila siku hapa yeye na Depal wanani-friendzone😂 nimeshakubali yaisheEbu nitag hiyo comment chap😅
Uwe unanitag nimpige chini chap nikuachie kijana😅inamaana huoni kila siku hapa yeye na Depal wanani-friendzone😂 nimeshakubali yaishe
Ahaaa hapa roho inatulia😊Ni venye muda wote nakua na Jack Palladino yaani nilipo yupo
sasa nashangaa Jack Palladino anaogopa nini😂 wakati mi na we ni mtu na shangazi yakeNimeku-aunt zone 😅