Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Thats neat hapo Kofi la Mpenzi hata haliumi [emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]thank you babe, kofi ni kofi tu
Thats neat hapo Kofi la Mpenzi hata haliumi [emoji28]
Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha[emoji849][emoji849][emoji23] mshamba_hachekwi
Na mikucha hiyo😂😂, siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine 🤔😂😂Usijali!!
Tunashika toilet paper tunajifuta
tunachukua maji tunajisafisha.
tunachukua sabuni tunanawa.
tunakausha mkono.
tunamalizia hand lotion.
Au mwenzetu unashikaga uchafu na mikono uwiii ndo maana sipendagi kushikana mikono hovyo na watu!
Na mikucha hiyo[emoji23][emoji23], siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine [emoji848][emoji23][emoji23]
vile vibomba vya kutoa maji shwaaa vina kazi gani mkuu.. sema hiyo mikono na imagine ina ku massage 😊😊 dah.Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha🙄🙄😂 mshamba_hachekwi
Salama. Mambo Aaliyyah ?Mmeamka salama
Kama Guangzhou au ShenzhenHappy Friday!😊View attachment 2643143
Vile vinaitwa shattaf mambo ya kushika nnya watu walishaachavile vibomba vya kutoa maji shwaaa vina kazi gani mkuu.. sema hiyo mikono na imagine ina ku massage 😊😊 dah.
UmenibakishiaKama kawaida
Tusikufwate umeolewa?
Passport yangu ime expire nipo ubalozi wa Algeria hapa HABIB ويويوينينيمييميمبممميييمن
Na ndio mwenyewe anavyosema!!🥴😁😂😂 ni hakuna kulala mpaka mambo ya klayanti yatimie.
Shemeji yako huyo muheshimu sanaSalama. Mambo Aaliyyah ?
Ndo yanamuongezea maarifa!!!🙈mshamba_hachekwi Umeona vitabu hivyo🤔, sio wewe umejaza ma walpaper ya xx Kama vile matangazo ya waganga😂😂😂
Kwa nani tena?Shemeji yako huyo muheshimu sana
Shekpeee🤔😁😂, halafu nyinyi mkiwa matajiri. Tyanze kusema mmeturogaa🤔😂Ndo yanamuongezea maarifa!!!🙈