Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,367
Me sijaona weka tena.[emoji23][emoji23]Ila wewe Kaa hapohapo usitoke
Me sijaona weka tena.[emoji23][emoji23]Ila wewe Kaa hapohapo usitoke
Safi, umependeza sana.lazima tumchinje haswa [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana MkuuSafi, umependeza sana.
Shukrani Mkuu
lips ziko on point👌Shukrani Mkuu
Camera tu hii ya mchongolips ziko on point👌
Una rangi nzuri sana,hongera.
hii weekend tunakirusha wapi?? au tunachill tu....Camera tu hii ya mchongo
Ninapakwenda basihii weekend tunakirusha wapi?? au tunachill tu....
kuna siku niliona unaongelea kuhusu swimming 😂Ninapakwenda basi
nipo ghetto nachill tu ,
hali ya hewa ni kulala tu
Napenda eehkuna siku niliona unaongelea kuhusu swimming 😂
unapenda swimming afu sio muogeleaji😂 mbona sielewi....Napenda eeh
sema si muogeleaji 😂😂
eeh inawezekana , unapend kitu , huwezi kukifanya .unapenda swimming afu sio muogeleaji😂 mbona sielewi....
sijawahi kufika beach😂 mi kweli mshamba😂eeh inawezekana , unapend kitu , huwezi kukifanya .
napenda mazingira ya beach , patulivu , stress free
Ah pole , kweli jamani ??sijawahi kufika beach😂 mi kweli mshamba😂
Kwa kweliiii imekolezaa lipsAwwh sweet Coca
yaani Red lipstick haimkatai mtu .
ni utadamshi tu
arusha beach zetu ni vichemchem 😂Ah pole , kweli jamani ??
sie tulikuwa tunaenda tukiwa wadogo kabisa kila weekend .
ewah , mmeamkaje hukoKwa kweliiii imekolezaa lips
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]