mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,793
bifu liishe kaka, umeshinda😂Hawa maindi masnitch, so wata kushughulikia mapema😂😂😂. Ndo Mana mi nimebaki nanjilinjii 😂😂
bifu liishe kaka, umeshinda😂Hawa maindi masnitch, so wata kushughulikia mapema😂😂😂. Ndo Mana mi nimebaki nanjilinjii 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilichekaa mnooo, sema nilikua buzzy ule muda, ila JF bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuhurumia kufua
Wakati ukiona mtu ana kucha ujue tayari ana option yake ya kufua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe ndo wako wapi 😂😂😂Kwani wazee wa daisalamu wanasemaje😂😂😂
Una rangi nzuri sana,hongera.
Maonekano wa ngozi unaakisi uchumi wa mtu. Ngozi inaongea!!
We sema unakuja lini niandae ratiba ya kukuzungusha uenjoy huu mji🥰uko serious au unanchatisha tu hapa 😂
Una rangi nzuri sana,hongera.
Maonekano wa ngozi unaakisi uchumi wa mtu. Ngozi inaongea!!
itabidi aisee.... nataka nione kasura kako kwanini unakafichaficha 😂We sema unakuja lini niandae ratiba ya kukuzungusha uenjoy huu mji🥰
we only live once😂Furahi day🥂😊View attachment 2643763
Una rangi nzuri sana,hongera.
Maonekano wa ngozi unaakisi uchumi wa mtu. Ngozi inaongea!!
Maisha ndio haya haya mkuu, tunatafuta pesa kwa nguvu ila tusisahau kuishi!we only live once😂
Si ndio utaniona live nikija kukupokeaitabidi aisee.... nataka nione kasura kako kwanini unakafichaficha 😂
NakaziaMaisha ndio haya haya mkuu, tunatafuta pesa kwa nguvu ila tusisahau kuishi!
Mzee wa kukazia🤣Nakazia
Sina baya na mtu😂Mzee wa kukazia🤣
sawa.... ahadi ni deni 😂Si ndio utaniona live nikija kukupokea
Nakazia😅Sina baya na mtu😂
Vijana mnaanza eehsawa.... ahadi ni deni 😂