myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Aisee🤣 boss hanuniwi lakini kuna muda unatakiwa umchemshe kidogo
Aisee🤣 boss hanuniwi lakini kuna muda unatakiwa umchemshe kidogo
😂😂😂😂😂 inapendeza aseMpaka nimeiplay 🥰 Mwachiluwi View attachment 2642868
Endele kungoja sisi bado tupoDrop dead gorgeous Lenie, Glamorous Depal, Guffawing mshamba_hachekwi, mzee wa utalii wa ndani kwa mabasi mikweche Mwachiluwi
Nangoja Selfie zenu hapa
Kisimu cha magendo kile paleeee [emoji12][emoji12]
Anangoja nini?😅Endele kungoja sisi bado tupo
Nguvu ya kushinda Jf na kugombania goli uitoe wapi mkuu 😅😅😅
Salama vipi wewe hukoMmeamka salama
Self zetu😂😂😂Anangoja nini?😅
Jana katuwekea kikatuniSelf zetu😂😂😂
Yupo nusry school ujui 😂Jana katuwekea kikatuni
Hapo sawaYupo nusry school ujui 😂
Leo morng umekula nini?Hapo sawa
Kama kawaidaLeo morng umekula nini?
mshamba_hachekwi Umeona vitabu hivyo🤔, sio wewe umejaza ma walpaper ya xx Kama vile matangazo ya waganga😂😂😂
Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha🙄🙄😂 mshamba_hachekwi
Thats neat hapo Kofi la Mpenzi hata haliumi 😅
Aisee ni shida bro, unakuta saa 1, kuja kushituka saa 5😂😂. Afu Nina game la WWE. Bado season aisee ntajuta😂🤔Afu muda hua unasepa kinoma
Ukija achia pad unakuta saa limekata