Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwagilia moyo
Screenshot_2023-06-02-13-56-25-648_com.instagram.android-edit.jpg
 
Usijali!!

Tunashika toilet paper tunajifuta

tunachukua maji tunajisafisha.

tunachukua sabuni tunanawa.

tunakausha mkono.

tunamalizia hand lotion.


Au mwenzetu unashikaga uchafu na mikono uwiii ndo maana sipendagi kushikana mikono hovyo na watu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu nimeangua cheko japo kifua kimenibana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkamu unacheka nn[emoji23][emoji23][emoji23]

Kucha nimebandika mimi ila anaumwa yeye[emoji23][emoji23][emoji23] ananifundisha usafi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilichekaa mnooo, sema nilikua buzzy ule muda, ila JF bhanaaa.
 
Hi darlings.
Mi nawafatilia sana watu wa humu.
Asanteni kwa kutubless na picha zenu.
Mi sio mkaaji ila nimepita tu kuwasalimia na kuwabless kidogo.
Kuna wadada nawapenda humu ila naogopa kuwatag.
Haya mbaki salama.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
IamBrianLeeSnr kumbe ni hii pisi ndiye mnafunguliana nyuzi😂, ni pisi kali kiukweli
 
Back
Top Bottom