Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,591
Miss cleo 😗😘🔥🔥🔥Hi darlings.
Mi nawafatilia sana watu wa humu.
Asanteni kwa kutubless na picha zenu.
Mi sio mkaaji ila nimepita tu kuwasalimia na kuwabless kidogo.
Kuna wadada nawapenda humu ila naogopa kuwatag.
Haya mbaki salama.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Cha msingi uongee na optometrist wako kwanza, uone atakushauri nini.Inabidi nijaribu hiyo option
Ila nihakikishie kama nitawaona mbu vizuri😁
Kwa hiyo sisi wakaka hutupendi?Hi darlings.
Mi nawafatilia sana watu wa humu.
Asanteni kwa kutubless na picha zenu.
Mi sio mkaaji ila nimepita tu kuwasalimia na kuwabless kidogo.
Kuna wadada nawapenda humu ila naogopa kuwatag.
Haya mbaki salama.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Shangazi=auntiee no big deal jomoni khaaah ingekuwa practical exam ungeshaliwa kichwa 😆😆😆 O.P kabsaHalafu wee dogo shangazi who?what?which?
Sasa nimeelewa lile file lako. Ni hivi ukiona nabebishana hadharani, hapo hamna kitu. Mwenye mali simuaniki hadharani. Selfika hapajui. So uliyemdhania, nimemjua relax... hamna kitu toa kwa file ye34nbe
hatujambo unaendeleaje dadaTotoz hamjambo? mshamba_hachekwi Mwachiluwi
hizi sasa ni dharau 🚮Totoz hamjambo? mshamba_hachekwi Mwachiluwi
Pole totoohizi sasa ni dharau 🚮
ukikua utaacha wala sikulaumu....Pole totoo
Kheri sana upande huu. Natumae huko pia.hatujambo unaendeleaje dada
Sawa sawaukikua utaacha wala sikulaumu....
Karibu sana dearHi darlings.
Mi nawafatilia sana watu wa humu.
Asanteni kwa kutubless na picha zenu.
Mi sio mkaaji ila nimepita tu kuwasalimia na kuwabless kidogo.
Kuna wadada nawapenda humu ila naogopa kuwatag.
Haya mbaki salama.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ume damshinsana 🥰🥰Leo no sura 😂😂View attachment 2624351
Iko byee kabisaKheri sana upande huu. Natumae huko pia.
🤗🤗🤗🤗
Kadri kinavyoendelea kuchemka na mood ya kupika inakata. Sijui itakuwaje 😂🤗🤗🤗🤗
Umeshaanza kuchemsha???
Kimwage 😂Kadri kinavyoendelea kuchemka na mood ya kupika inakata. Sijui itakuwaje 😂
Waii nitakiunga hata kesho 😂Kimwage 😂