National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π€π€π€ lipooo kwa ajiri yako shangazi yangu mzuriii... kuku wa kienyejeeee unakula hadi mfupaaa woooteeeeNakujaaa hapo fastaaaa mjombaaaa !
Mie nataka pajaaa firigisiii niliambiwaga mnakula wanaume!
Dogo anapenda kubanana sana!Ya nini kubanana banana na watu banaπ
Haswaaa...maadamu tuna uzima basi na tumsifu BwanaAsante kwa kunipa moyo , Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana
Kiukweli Hali inaonekana ni mbaya sana...Hongeraa Kwa Hilo ila Sio walimu wa shuleni kwangu wa kiume Malaya mnoo mpk kugombea mwanafunzi wa kike na bodaboda
Tabia ya kuwaambia community yako ya Lgbt kwamba nakufahamu na nakuogopa sitaki, nikikukamata ntakulamba makofi we mtoto, sishindwi kufika hapo ulipo, nisipo quote unawashwa eti nakuogopa, nikikutia mikononi nitakuvunja hiko kiuno, we nizoee kama basha wako pumbaf.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona unichokozee sasa, hujisikii ahueni bila kunichokozaa??
Mie sio mzima, nimekufaaaa. Vipi una jinginee
Kabesaa mjombaaa siachi kituuu...hadi mifupaaaaa!!π€π€π€ lipooo kwa ajiri yako shangazi yangu mzuriii... kuku wa kienyejeeee unakula hadi mfupaaa woooteeee
AmenHaswaaa...maadamu tuna uzima basi na tumsifu Bwana
Aseeehhh...Hivi mzima kweli huyoo JamaniKiukweli Hali inaonekana ni mbaya sana...
Hapa kwetu SAM hadi kasusiwa mji na mkewe kisa hivo vitoto... mke alimfumania kitandani kwake kabisa ilikua likizo Wanakaa Mbali na mkewe.. !
unanilishaaa firigisii nakulisha upaja π π π maisha ndio hayaa hayaaa shangazi yangu mzuriKabesaa mjombaaa siachi kituuu...hadi mifupaaaaa!!
Na vurugu zangu zoote, huwa sikubali mtoto wa kike kuharibiwa hatma yake hasa wanafunzi.. Mtu anaechezea watoto naona mshenzi tu na kama kuna nafasi namchomea utambii π πKiukweli Hali inaonekana ni mbaya sana...
Hapa kwetu SAM hadi kasusiwa mji na mkewe kisa hivo vitoto... mke alimfumania kitandani kwake kabisa ilikua likizo Wanakaa Mbali na mkewe.. !
Nina kichwa kibovu Sanaππ, sijui niliwazia Niniππ
She is backIntelligent businessman sis akee anaendeleaje???
Ofisi yao kuna chemba ina kigodoro na blanket kabisa....Aseeehhh...Hivi mzima kweli huyoo Jamani
Kuna mmoja hapa kwetu mwanafunzi wake kama mke wa pili
Tupe uone kma tutakataaππNyie vijanaa si hamuwatakiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaendeleaje??? I hope she's doing well!!! Ngoja nimchekiShe is back
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shangazii hebu khaahTupe uone kma tutakataa[emoji23][emoji23]
Nakuanzishiaa Uzi, Sasa hiviπAnaendeleaje??? I hope she's doing well!!! Ngoja nimcheki
Tumpe maua yake πΉπAhaa wewe mtu hatari sanaπ
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππππππ!Nakuanzishiaa Uzi, Sasa hiviπ