Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]Jana Ilikuwa siku ya kucheza mziki
Leo kuimba no stress sabaha Niko hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli likizo imechachua aunt angu. Mweeeh
 
🎵Na yangu mengi mahitaji sinamida huo
Mimi nalisaka tonge Ili liende kinywani
Sijatia mazonge kujitia mashakani
Niende huku niende kule kuitafuta Riziki
Sio kupiga kelele kujiongezea dhiki🎵@Antoniia
Sautiiiii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🎶🎶🎶🎶🎶🎼🎼🎼!!

Asantreeeeeeh
 
🎵🎵Kama noma na iwe noma
Nishaamua mapenz
Nimepata alo mwema Si mwingi wa mashauz
Anapotak kusema n mm Sina ajiz
Simtupii lawanm kwani hodari wakazi ah
Unipa mapema mapema kabla ya usingiz
Hata niwe na homa hupoi Kwa yake ddozi🎵🎵
Omar kopa
Mamboyenu ya zamani boss lady
 
Back
Top Bottom