Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walimu WA kiume washenzi sana ndo waharibifu WA kwanza WA watoto wenu
Sio wotee ila baadhi
Inasikitisha sana. Binafsi nilishakuwa Mwalimu kinondoni Muslim sikuwahi hata tongoza.. ukichezea wa mwenzako leo jiandae wako au ndugu zako.. naogopa sana kuchezea mtu awe mtoto au awe mkubwa.. walimu wanakuwa wahuni kwasababu hawana access ya kupiga parefu
 
IMG_6758.jpeg
 
Wajumbe sio watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuambia "we ulisikia wapi DARUSO inaongozwa na mwanamke, nani alisema??"

Ila wajumbe siwawezii kwa kweli, kwa jinsi Alice alivyokuwa ananadiwaa nilijua mapema tyuuh anatangazwa ubingwa, uwiiiiiiiii

Wajumbee hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2641095View attachment 2641096
Haya mambo ya kupigia kampaign watu alikuwa anayaweza Kapachino

Usnichi kawaida saana. Unaweza kuongoza siku za kampeni alafu siku moja kabla ianpigwa fitnaaa gaflaaa matokeo yanapinduka.

Hongera Kwa washindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom