sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Masters inakuhusuYeaaah mie Jully nayeyaa mazimaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Masters inakuhusuYeaaah mie Jully nayeyaa mazimaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni mayai au???Bado nakusanya zawad mpaka najutaa kwanini nisinge kuja na private
Kakataaa huyu bwana mdogo.Ukipata mwaliko nishtue
Acha ushamba bas ni maboga
Heee mayai ya njiwa pori 😳Bado nakusanya zawad mpaka najutaa kwanini nisinge kuja na private
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤗!!View attachment 2641211
Kumbe Yanga mliwahi kufulia mpaka mkawa hamna hata mia ya kununua jezi. Kwa huruma chama cha mpira Tanzania kikawasitiri kwa kuwaazima jezi za timu ya taifa
Cc; Antonnia
Umefungiwa mayai ya njiwa au ni mchele?
😂😂 sijafika bado miaUmekua single miaka mia ngapi mpaka ufike huku???
Kama vipi njoo kwa single mzoefu upate ma-point!!🤦🏾♀️🤦🏾♀️
Buku tunapata ivory chocolate 1 😂Jr kakuta kwenye mfuko wa suruali yake 🤓...njoo msindikizane.😀
Haha sio mbaya
Wewe mshambaaa 😂😂Heee mayai ya njiwa pori 😳
VyoteUmefungiwa mayai ya njiwa au ni mchele?
mshamba_hachekwiWewe mshambaaa 😂😂
Mimi nakucheka leo
mbona unamficha njiwa mpige picha 😂Karibuni
Leo sikuli njiwambona unamficha njiwa mpige picha 😂
ukishaupata nitumie invoice inboxBantu Lady Aaliyah cocastic Naombeni msuko mmoja uwe mkareeee yani matraaatraaaaa sanaaa .. utaonipendezaa kwenye li komwe languu hiliiii[emoji4][emoji4]!!
Sio knotlesss . sio mabutu sio njia mbili sio yebo.. Mwingine kabesaaaa
Weee Kigi hebu karibu sana Selfika kwanzaaaa!! lol kumbe unachunguliaga huku😊😊😊😅!!ukishaupata nitumie invoice inbox