Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Buku tunapata ivory chocolate 1 😂Jr kakuta kwenye mfuko wa suruali yake 🤓...njoo msindikizane.😀
Buku tunapata ivory chocolate 1 😂Jr kakuta kwenye mfuko wa suruali yake 🤓...njoo msindikizane.😀
Haha sio mbaya
Wewe mshambaaa 😂😂Heee mayai ya njiwa pori 😳
VyoteUmefungiwa mayai ya njiwa au ni mchele?
mshamba_hachekwiWewe mshambaaa 😂😂
Mimi nakucheka leo
mbona unamficha njiwa mpige picha 😂Karibuni
Leo sikuli njiwambona unamficha njiwa mpige picha 😂
ukishaupata nitumie invoice inboxBantu Lady Aaliyah cocastic Naombeni msuko mmoja uwe mkareeee yani matraaatraaaaa sanaaa .. utaonipendezaa kwenye li komwe languu hiliiii!!
Sio knotlesss . sio mabutu sio njia mbili sio yebo.. Mwingine kabesaaaa
Weee Kigi hebu karibu sana Selfika kwanzaaaa!! lol kumbe unachunguliaga huku😊😊😊😅!!ukishaupata nitumie invoice inbox
nachungulia mara chache kama hivi naibuka kwenye majambo yanayonihusuWeee Kigi hebu karibu sana Selfika kwanzaaaa!! lol kumbe unachunguliaga huku!!
. Usijareee kabesaaa invoo inakujaaa sasaheveeee!
Ahaa kumbe!! Basi karibia sanaaa chimboni selfika !!nachungulia mara chache kama hivi naibuka kwenye majambo yanayonihusu
Mkuu Kigi Makasi njoo uubless huu uzi kwanzaa!!

ngoja niupitie kwanza uzi nijue formation..., Si unajua ndo nimetoka kwenye uzi wa wachawi wa kwamsisi nisije nikapost vampire hapa😀😀😀Nina kiherehere tu 😂Sasa unasukaa ya nn aunt akati unavaa hijab??
![]()