sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Naaam hao ndio safi SASA sio kila siku zawadi za boksa na singlendiNaona wanatoaga sana kwenye Send off huko .
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam hao ndio safi SASA sio kila siku zawadi za boksa na singlendiNaona wanatoaga sana kwenye Send off huko .
Bila kusahau saa 😂😂😂Naaam hao ndio safi SASA sio kila siku zawadi za boksa na singlendi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada wa watu hata hajaamini kwa kweli, woiiiiiiihHaya mambo ya kupigia kampaign watu alikuwa anayaweza Kapachino
Usnichi kawaida saana. Unaweza kuongoza siku za kampeni alafu siku moja kabla ianpigwa fitnaaa gaflaaa matokeo yanapinduka.
Hongera Kwa washindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Njema saana.Bila kusahau saa [emoji23][emoji23][emoji23]
habari yako Kaka
Aamini tuu hamna namna. Ayajenge vzr na Rais mteule alambe uteuzi. Asikaze fuvu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada wa watu hata hajaamini kwa kweli, woiiiiiiih
Haha akanunue mwenyewe 😂😂Njema saana.
Shemeji yangu mtafutie PS mapemaaa. Utanishukuru baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei elekezi yakizalendoHaha akanunue mwenyewe [emoji23][emoji23]
ni bei gani kwanza ???
Uzalendo wapi tuwaachie wakishua hao ..
Hahaha ukinunua hii soon tunafanya sendoffUzalendo wapi tuwaachie wakishua hao ..
Mchawi pesa hahaa ukipata unashow tu love .
Ndio full kitambi nikija
Tushtuane ukiivisha takuja na mdogo wangu Tinsley tuleNdio full kitambi nikija
😂😂😂😂😂😂 sitaki wageni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie naondokaaa zangu Jully hapo, wanaobaki labda.Aamini tuu hamna namna. Ayajenge vzr na Rais mteule alambe uteuzi. Asikaze fuvu...
Na nyinyi wapiga kampeni mpate japo ufudi testa pale cafe 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya huko chini kwenu yanatoka kama bombs, chezea wanyarwanda [emoji16][emoji2][emoji2]maji ya?
Dah..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie naondokaaa zangu Jully hapo, wanaobaki labda.
Ukipata mwaliko nishtue
Yeaaah mie Jully nayeyaa mazimaaaa