Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Itakuwa alipotea kutusindikiza 😂Simuoni tangu jana😂
Itakuwa alipotea kutusindikiza 😂Simuoni tangu jana😂
AliwatanWangekupiga kwanza ban ya mwezi, ndio ushike adabu😂
Ahahhah sikubenei leo nipo naangalia mbuzi na ngombe😂😂😂 mwambie aje niko huru
Tena waje na selfie wako shambani kwenye parachichi na mwenzake Mwachiluwi
Wako wapiAhahhah sikubenei leo nipo naangalia mbuzi na ngombe
Naomba niwe chawa wako tasavaliAliwatan
Huo ndio ujamaa😂Itakuwa alipotea kutusindikiza 😂
Nitakuharibu 🤣🤣Naomba niwe chawa wako tasavali
Jomoneeeee uduguu unapitwajeee tutanii naweee?? Bila heka hekaa naumwaaaa mwenzioUdugu unapenda kashikashi kwahiyo Madenge [emoji1787][emoji1787] emu subiri kwanza, unajua coco nilimchamba mgauni wake wa harusi mbaya km wa kupokelea kipaimara akanitia padlock
Ngoja nipite kitaa hiko siku nyingi sijakatiza tutani napitwa na mengi [emoji12]
Umeonaaaajeeee kikatuni alizidi mbwaaa yulee utadhani twiraaaaa yake bhanaaaa. Khaaaah.Herode kajua kumnyamazisha kikatuni saivi kawa mtulivu kama kuku aliyemwagiwa maji ya baridi hana tena swaga za kujimwambafai
😍😍 waunyamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee subiri maumivu zaidi j2 usikuuu.[emoji1787][emoji1787][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]!
Nguvu mojaaaaaaaa[emoji123]
Unakaa mbele na ukiulizwa clutch iko wapi hujui
Twende wote babu GNitajitahidi kufika kote huko
Mwenzenu alikuwa mjamwepesi mkamkanda na Hali yake.Jomoneeeee uduguu unapitwajeee tutanii naweee?? Bila heka hekaa naumwaaaa mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukujee twiraaaaa ujioneeeee visangaaaa mbna kumenogaaaaaaa, coco nae kwa kujishaua hajamboo mxxxxxiiieeeeew mie ndo maana namchambagaaa hana hamu na mie kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nipige nao pichaWako wapi
The hub
Nikiwa mikoani ndio unaaanzisha safari why lakini