Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee wa kupambania naanza kuwapenda waarabu 😂😂😂😂
JamiiForums1709643988.jpg
 
Waache dharau zao

Walikuwa wana kelele sana hawa Utopolo, Waarabu wamejua kuunyamazisha mji na zilizokuwa kelele za vyura wa jangwani
Sema mwaka huu walikutana na team rahisi (vibonde)
ndo maaana wakajidai hivyo .

Arrgggh ilikuwa kero kuna jirani mmoja mpangaji mwenzangu ana makelele huyo bora walivyofungwa 😂😂
 
Sema mwaka huu walikutana na team rahisi (vibonde)
ndo maaana wakajidai hivyo .

Arrgggh ilikuwa kero kuna jirani mmoja mpangaji mwenzangu ana makelele huyo bora walivyofungwa 😂😂
Walikutana na timu zimejichokea kama ile ya Malumo wamejishukia daraja huko kwao sasa kuna timu hapo

Sasa ndo zamu yako kumkera jifanye kama haujui kinachoendelea muulizie matokeo 🤣🤣
 
Walikutana na timu zimejichokea kama ile ya Malumo wamejishukia daraja huko kwao sasa kuna timu hapo

Sasa ndo zamu yako kumkera jifanye kama haujui kinachoendelea muulizie matokeo 🤣🤣
Yeah walikutana na slope aisee
Tp mazembe ishajichokea sasa
wasubiri mwakani .

hahaa sinaga hata muda wa kumuongelesha . ni kumpisha tu kwa njia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom