Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20230528_150221_One UI Home.jpg

Haya mambo ya kupotea kisa mapenzi sio ya Mhe. Rwakatale pekee aliyepotelea kwa Ashura wa Tabata 🤪🙌

Nakumbuka miaka ya 77, 78 tukiwa tunajiandaa kwenda kumfurusha Iddi Amin pale Uganda, tukiwa Kambini pale Tabora si kuna mwenzetu alipotea kwa kutekwa na binti wa Kinyamwezi.

Baada ya kumtafuta kwa siku 22 ndiyo kuja kumkuta kwa yule binti wa Kinyamwezi akiwa wamemlowekea Uniform zake za kazi 🙌

Amepotea song by Mbosso Khan

Hii nyimbo imefanya nikumbuke mbali sana kwa kweli 🤪

Hello Sunday 🥂
 
View attachment 2638179

Si useme tu umefungiwa kwani Kuna ubaya😂😂
 
Maisha ndio hayahayaaa babuu akeee Enjoyyyyyyyy!!

Mpige rafu kama zoutreeee!💪🤸
 
Back
Top Bottom