Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,063
Kama nawaonaa wachawi wanavofurahia hukooo 👽👽👽👽!!Waarabu wanajua aisee yaani Yanga hata hawajamaliza kushabikia vizuri goli lao jamaa wakawafunga mabakuli yao 🤭
Mayelee kaongeza goliii kiatu kinamuhuuu😛😛😛!!
Nakule ataongeza treinaa!!
Bado tunaimani na 💛💛💛 inaenda kkuvunja rekodi yao ya kufungwa homeeee 😁😁😁🤗🤗!!