Pambana kijana90 days sober. Huo ndo mpango 😂
Pambana kijana90 days sober. Huo ndo mpango 😂
We unakunya hiyo?Naomba 1 totoo
unakunywa alkasusu una mke shekhe😂 chezea ngwaka wewe....Ni Alkasusu mujarabu vijana wenye vikanzu na baraghashia wamenipitishia hapa kurasa 😂😂😂😂
Tulia mwananguau sio mwanangu😂 kisa sina iphone umeamua kunioshea
Ahhaha ajatulia mimi siwezi jaman hapana kila sehemu anatakaKwahiyo ulimpikia tembele lenye dawa mwanetu akakudondokea kisha ukala kona?
NakunywaaWe unakunya hiyo?
hongera sana binti😂 unasema kijana wako kakununulia keki wengine hata 500 hatutoi....View attachment 2636815mwamba huyu hapa mwenye ataki shida so much i love you najua upo hapa na unaona
Kupendwa raha nyie jaman hasa upate mwanaume anaejua kukupenda na anajua mwanamke anataka nini?
Njooni tukate keki pamoja
Ahhaha wapeni jaman wanawakee zenu atakama hawajitumi vile mtakavyohongera sana binti😂 unasema kijana wako kakununulia keki wengine hata 500 hatutoi....
#Halotel#Mjep nizawadie bando la mwezi 😂😂😂 ukikaa kimya ivyo sipendi
We mbona wako hajakupa mpaka bando la mwezi unaomba kwa majirani?Ahhaha wapeni jaman wanawakee zenu atakama hawajitumi vile mtakavyo
mwezi wa 6 ni pride month kwahiyo makampuni ya kimarekani lazima yaonyeshe inclusivity....Tulia mwanangu
We fanya kunitafsiria mstari wa kwanza 😂😂
Mm natumia voda nitumie pm pleas humu vibaka wengi jaman#Halotel#
mkuu tunawajali sana ila wengine tunategemewa na wadogo zetu pia, tunabanwa matumiziAhhaha wapeni jaman wanawakee zenu atakama hawajitumi vile mtakavyo
Namtengeneza kuwa futer kwahiyo anaombwa shida kubwa kubwa 😂😂We mbona wako hajakupa mpaka bando la mwezi unaomba kwa majirani?
Au huyo ndio mnunua keki?
Nyau zao 😂😂mwezi wa 6 ni pride month kwahiyo makampuni ya kimarekani lazima yaonyeshe inclusivity....
Kibaka na wewe dada 😂😂😂😂😂😂Mm natumia voda nitumie pm pleas humu vibaka wengi jaman
Hata sijalala tena 😵😵Usingizi mwema 😂
Mpende mpenzi wako jaman huyo ndio wa muhimu sana mdogo wako akikua atakuacha atakuwa bise na familia yake ila mpenzi wako atakuwa na wewe katia kila hatuamkuu tunawajali sana ila wengine tunategemewa na wadogo zetu pia, tunabanwa matumizi
All the best 😂😂Namtengeneza kuwa futer kwahiyo anaombwa shida kubwa kubwa 😂😂