[emoji81][emoji81]kume kucha
Mambo ni moto 🤣[emoji81][emoji81]kume kucha
Sasa hutaelewa hata hivyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahaha mimi uko nimetoka niliona sielewi nakuja pm
Dr
Ratiba yetu ya dinner ipo palepalee[emoji23]
Kusherehekea mafanikio yetu ya kumuondoa Milner.
DahNi Alkasusu mujarabu vijana wenye vikanzu na baraghashia wamenipitishia hapa kurasa 😂😂😂😂
Half american shemeji shikamooView attachment 2636815mwamba huyu hapa mwenye ataki shida so much i love you najua upo hapa na unaona
Kupendwa raha nyie jaman hasa upate mwanaume anaejua kukupenda na anajua mwanamke anataka nini?
Njooni tukate keki pamoja
Nimetoka kapaSasa hutaelewa hata hivyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimpe kichwa pleas utamfanya mwenyewe nimemwandikia hapa ajisikie wivu maana shoo anawivu hatar ndio maana ata sikuiz jf sichat sana yaani wewe acha tuHalf american shemeji shikamoo
Kwahiyo ulimpikia tembele lenye dawa mwanetu akakudondokea kisha ukala kona?Usimpe kichwa pleas utamfanya mwenyewe nimemwandikia hapa ajisikie wivu maana shoo anawivu hatar ndio maana ata sikuiz jf sichat sana yaani wewe acha tu
au sio mwanangu😂 kisa sina iphone umeamua kunioshea
Mwachiluwi njoo uone kitumbua