Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko winja winjaaa huko twitter, jamani umemuonaa mke wa herode?? Ni kisu balaaaaa.

Nime mdm coco kumchambaaaaa, leo hana hamu
Anavyojishaua na kikatuni wakee dadekiiiii.

Yaan kikatuni kazimwa hana hamu, tangu jana hayuko online, kisa kuwa EFM eti anatambia watu ana mshahara wa 7digits [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Herodee kamuungia juu kwa juu, aoneshe bank statements ya 3months, na vyeti vya O level.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambeeee,. Wapwaa na majobless tunamkaanga kikatuni na best yake Mapua. Woiiiiiiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 nakukubali kamanda

Kikatuni kadandia mtumbwi wa vibwengo daadeki. Herode kamvua nguo, kikatuni kila akitweet wadau wanamwambia apost vyeti na benki ya statement 🤣 anaingia mitini
 
Dr
Hicho kitumbua kimepotea njia hapo
Naomba nikichukue
🤣🤣🤣

Sema nikuletee wapi....
20230527_174131.jpg
 
Back
Top Bottom