Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
karibu sana MjombaNije na mie kukutembelea basi
uswazi sana huku utapaweza kweli
karibu sana MjombaNije na mie kukutembelea basi
Wasikilizwe kidogo tu ndugu mjumbe!🤓🤓 Itakua wakisikia tu vinatajwa wanakumbuka ladha ya shule.Wana hoja gani? Wanafananisha na kande za shule ambazo zilikuwa haziungwi🤣
Ya milimani nishakula
Ya nazi + karangq nakula
Ya mahindi mabichi mazima mazima nakula
Yan😂😂
nipe location nije hata asahivi nije pata chochote kitukaribu sana Mjomba
uswazi sana huku utapaweza kweli
La mama🔥🔥
Kuna kitu basi huku ..nipe location nije hata asahivi nije pata chochote kitu
Tutavimbiwa🤪🤪La mama🔥🔥
Hapo itakuwa kula kusaza🥰😋
Dah mbali 🤣🤣🤣🤣Kuna kitu basi huku ..
karibu huku kwa wazaramo wenyewe .
njoo hadi Bunju kabisa ni kati kati hapo .
Mkuu sorry, napataje hizi pics, my kids nimewaonyesha wamezipenda sana. Nipe chimbo.
Sio sanaDah mbali 🤣🤣🤣🤣
Una kitanda cha mgeni 😅😅Sio sana
foleni ishakwisha mida hii
Mahangaiko 🤣🤣
nikitoe wapi 😂😂Una kitanda cha mgeni 😅😅
Atleast kahela katabaki baki, kesho tutakula kuku choma
Bila sorry mkuu. nitashare account zakeMkuu sorry, napataje hizi pics, my kids nimewaonyesha wamezipenda sana. Nipe chimbo.
Thanks bro, wamevutiwa sana nazoBila sorry mkuu. nitashare account zakeView attachment 2635850
Nthuri sanaThanks bro, wamevutiwa sana nazo
nikitoe wapi 😂😂
mgeni nitampeleka lodge moja hapo juu .
raha ya mgeni alale home 😊😊nikitoe wapi 😂😂
mgeni nitampeleka lodge moja hapo juu .