Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Unakuja na jezi zetu??[emoji846]
Halafu nilisahau mpe pole jana tumempiga 4-1, jezi muhimu naiuja nazo!
Unakuja na jezi zetu??[emoji846]
Mtoto yuko wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukikaribia Ununio usimame unipungie ndo uendelee na safari.Hivi ununio ndio ipo wapi?
Lenie akikudaka unarukaruka.... 😂Mtoto ni mwanamke mrembo kama wewe![emoji28]
safi kabisa za masiku mengi ya kupotea??nzuri vipi wewe
Lenie akikudaka unarukaruka.... [emoji23]
Watu wa Mbeya na kupunga mikono tunaenda sambamba😂Ukikaribia Ununio usimame unipungie ndo uendelee na safari.
Maneno yatakua mengi, hiyo pole utamwambia mwenyewe!🥴Halafu nilisahau mpe pole jana tumempiga 4-1, jezi muhimu naiuja nazo!
wacha ninyamaze 😂Mimi?[emoji15]
Maneno yatakua mengi, hiyo pole utamwambia mwenyewe![emoji3061]
wacha ninyamaze [emoji23]
Hata mimi ninavyovinunua huwa havijai wafanyabiashara wanatupiga sana 🤔Ah sikutia hasara
si unajua vikopo vyenyewe hivi na wafanyabiashara lazima uwe mchumi , kikopo hakijai 😂😂
Mrembo katoka kaniachia simu yake!😐Mtoto ni mwanamke mrembo kama wewe![emoji28]
Mrembo katoka kaniachia simu yake![emoji52]
tengeneza mwenyewe nyumbani .Hata mimi ninavyovinunua huwa havijai wafanyabiashara wanatupiga sana 🤔
Nan kasem?Hakuna ghafla kwenye hizi ishu!
😆😆😆Watu wa Mbeya na kupunga mikono tunaenda sambamba😂
Nakuja hadi ulipokaa
Mood itakata ghafla!!!😁Jana tumpewapiga kipigo kibaya sana, lazima nimpe pole kabla ya yote!
Kaka yako kasema!!😁Nan kasem?